So, sasa itakuwa ni competition?

Si waende wajenge hiyo barabara yao from Lamu to Isiolo as part of Lapsset tuwatambue.
Should make better sense than crap the already developed corridor with more infrastructure.

hii pesa ya dispora remittance mara ngapi tutasema a huge bulk of it ni pesa za online jobs?? So many are involved in it some of my friends after campus did not even bother looking for jobs

:D:D

My understanding is that if I pick my nduthi tool box and move the US I could build a mall?

Actually in Islamic world ya middle east inakuanga na super power mbili Saudia na Iran. Hawa watu wanachukiana sana kama vile US na Russia walikuwa enzi za cold war.

Kenyan govt inakuanga lazy when it comes to conducting research, hii ndio maana ukiwauliza what are the current unemployment rates in kenya utaambiwa stats za nusu mkate govt.

I hate this bara bara idea

saaaasa unasema nichukue loofah yangu na homemade shower gel na copy ya e.kubler-ross, niende nioshe tunyanye terminally ill alafu nipatane na nurse mwenye ako na trust fund ya $307million anataka ku change the world anioe nirudi tujenge mall yenye anchor tenant yake ni mall ingine?

Bora kitunguu kinuke kaka hata kama ni kusugua matacore ya cucu

Kuna job zingine mingi sio za cucu pekee. Ni vile labda ile tabia ya waKenya kufanya kazi zinafanana wakifika huko mara ya kwanza. I know Kenyans who drive ferraris. Vijanaa kwanza. Na sio big deal. Hata akiwa Kenya hauwezi jua. Just chilled. Na ni investment banker. Age yako Swargmaggedon! Holiday ni Italy, Monaco, Vegas not a big deal really.

Wewe na hio loofah yako, hebu wekelea funguo ya Ferrari hapa? Sijasema Subaru 2nd hand imenyambiwa na mzungu… Ferrari ya straight from the official duka.

“Lakini si gari ni gari bora tufike?!”

Boss kuna tofauti! Moja ni V12 ya ukweli na inalia kama V12 engine, hio ingine ni V… sijui, na umeweka sound effect kwa exhaust ati ilie kama V12, kijiji mzima hawalali hadi unaitiwa wazee wa kijiji na shifu.
“Kama nyonga ilie kabisa! Safari rally car vrooom vrooom! Mahater wajue Kama!”

And like purple has inferred hio kazi ya cucu imejenga Waafrika wengi sana. Some women who went abroad a few decades ago today own several facilities na ile pesa wanapata buda…

Walihepa enzi ya Moi when everyone was trying the mitumba business out of desperation. Leo wakikuja Kenya wako many miles ahead of those they left behind. Hawakuchagua, walifanya hio ilipatikana haraka. Na leo wako na options. Similarly kuna wale bado hawajapata footing abroad lakini wanasukamana wafike.

And what’s the story here?! Ulikutana na the legendary big foot???

[ATTACH=full]190332[/ATTACH]

Interesting read. So where is your ferrari now that you are in the land of milk and honey? Could you even afford a Demio while you were in Kenya?

Huyo kijana anaendesha BMW used huku kenya si akija huko with all those opportunities he can upstage you?

If you do not have a ferrari now can we term you a failure?

Na sindio. Na si uncle Sam ndio amewapatia kibarua. Halafu unakuta nugu inatukana Trump hapo on that very same computer! Akina 123 toka mbio.

Ananikalia kufanya hizo job. Kazi ndio hio umepewa upwork or wherever, Mu Amerika amekupatia hadi Google adsense na other affiliate marketing na kiburi umejaza juu ulinunua infinix na unakunywa Guinness weekend ukicheki ball.

Kama sio hio America unachukia hivo ungefanya aje buda? Hata wewe Deorro hii website yako ungejenga aje kama sio America." I have skills I can make mine…"

No you don’t. Hata wordpress ni yao. Hata C+ na Java. “Trump ni meffi lakini pesa yake ni poa!”

Trump anakununulia hadi k*ma… hehe you now fuck like a confident man, with a coin jingling in your pocket.

nafanyaje ndio niende US hata mimi nikuwe na lambogin yenye iko na 2 gold-plated xiaomi TVs kwa froot(front boot)?

ama hawa wakenya wenye wanaishi hivo ni outliers?

@Deorro @123tokambio ama mnadhani Trump hawezi funga onlinecash cow?!

Mnadhani hajafikiria hio maneno?

Mliona vile alifungia Chinaman ZTE yake juzi tu?

Kiburi imeingia Chinaman, " Fuck you America! Do your worst!"

Trump si akaenda kwa switch box akazima microchips… nimesema hampati tena!

“Woooooooi Trump haikuwa hivyo! Ilikuwa jokes buda! Usichukue serious please aki tutawacha copyright theft. Please uncle Trump be human! Turudishie tu microchips!”

Trump akauliza," Mtawacha tabia mbaya!"

“Ndio Uncle Trump tumetubu tumewacha!”

Na akawasha switch tena. Anaweza zima hizo video editing unafanya hapo Upwork Mr. Deorro ushindwe ni Google imekufa… ni bundles zimeisha… ni wire imekatika…

Turkish people are not Arab… Ngombe.

Allow me to enlighten you a bit. Not all online jobs involve writing articles for $2. The world has become a global village thanks to the internet and you can now work and earn the same as someone in the US so long as you have the relevant skills, experience and of course, high speed reliable internet. Msijiskie watamu sana just because mko US na sisi tuko huku. I might be here working remotely and earning more than you are. Not bragging, just saying :D:D:D

Kiulizo tu, Kwanini KE, hakuna elderly homes kama ile ya catholics? That’s a good business idea.
Though I dont see my mum leaving her Shamba behind when that time comes.

PS: Wíra na wíra. After all , one day ,if the gods will it, we will grow old and shit our pants too sometimes. Kueni serious, who will not appreciate having a caregiver when that time comes?

Yasha mwagika hayazoleki, deni tunazo na bado zitatufuata tupende tusipende. The only comfort ni, acha nione vile naeza ng’ang’ana nikawa na Kawasaki Ninja ndio nilie nikienjoy hiyo express way.

:D:D:D:D this thread took another unintended trajectory.

:D:D