'Souped up'

lakini unaingililia watu wa subaru wakitumia pesa zao vile wanataka???saitan

Hahaha … more fwaya

First is that even legal?
Alafu hii definitely ni ya vaite hao ndio hupenda kwanza hiyo spade ;):slight_smile:

Mbona huku kwenu wasee wa boda huandika Skygo hapo nyuma SCANIA MODERN COAST? Hio si ni IQ dede.

never done that…leta evidence!

Saw a mercedes ml350 with bullbars and
:frowning:
[ATTACH=full]65414[/ATTACH]

Hehehe, hujaona probox ya Kamande wakioi(msanii wa shiny eyes) ilikuwa mpaka na siren.

Aiii… .reke nemwo

Na snorkel ya aircleaner

The one christened ‘Kana Funny’?:D:D

:D:D yes that one. Huyo jamaa ni chizi haki.