300K to 450K can get you a used but clean Toyota Ist, or a Toyota 110! Toyota Starlet ni nzuri, lakini si imepitwa na wakati sana? Na magari ya rahisi hupatikana sana sana hapa kwetu Mombasa!
[ATTACH=full]33705[/ATTACH]
Kwa nini hizi nyoka bei inakuanga juu
Hii hapa ni PREMIO NYOKA
[ATTACH=full]33714[/ATTACH]
Hii nayo ni CALDINA ya nyama!!
Ni gari za pawa. Kwanza hiyo body newer vehicles haziwezi pata
Kwani hii premio huwa na nini coz its a dream car to ma car fresher wengi.
Itâs among the most hardy toyotas, the car lasts forever. Same class with AE 100 and 98.
Hii ni Subaru ya Toyota.
:D:D:D lazima iwe ya nyama
truth is, hakuna gari ya âkuenda job na kurudi tuâ. Youâre car will become your everything.
gari ya kubeba gunia, mali, kuenda trips off road na kadhalika
when youâre buying, consider all this.
my advice:
- forget the starlet.
- yes consider the 100 - but think it through
- ongeza pesa kiasi
one piece of advice i got from k-talk (i canât remember who said it) âgari ya 400k na chini wachana nayoâ.
he was speaking specifically about subaruâs but i think it holds true.
upgrade and buy forester 97-02. go for the boring one - the non-turbo.
buy a car that will do everything for you.
hio budget haita make it considering the Rims will take more than 50k
:D:D:D:D:D:D kwani unanunua gari ya 250k and spend alot of money on it???
zile Rim unaweza buy na hio pesa acha tu ikae na zile iko nazo
what Iâm saying dont put so much on a vehicle whose value is minimal e.g you buy a car for 100k and soup it up with 300k, youl end up spending 400k or equivalent but the value of the vehicle will still be less than 300k. it would be better to just get a 400k car