Sukari nguru

@Motokubwa tunangoja

Rongo…ni center ya ma jaggeries.

@Motokubwa nikutag mpaka useme… afadhali uniblock… this is vital information for me

ilikuwa long time ago when me and my friend tulifikiria kusupply changaa brewers in our locality na hip sukari,tukatafuta market kwa hao watu wa changaa na tukapata,Huyo rafiki yangu alikuwa amejuana na Kijana mwingine mjaluo WA huko rongo,tukamuhoji vile inauzwa huko per kg akatwambia ni 15bob na huku home ground tulikuwa tumepata soko ya 30 per kg,tukafanya hesabu yetu tukaona 5 Bob per kg ingetosha,transport na hizo vitu ndogo ndogo so tukamua kwenda kuleta.problem ilianzia hapo,hatukubeba kilo ya kupima so tukikuwa tunategemea our luo point man, they lied to us hio “nduma” Was 1.5kgs but after weighing wakati tulifika home ilikuwa 3/4 kg,other problem ilikuwa transport ,jamaa alikuwa ametwambia transport sio problem tutapata malori,hazikupatikana, problem number 3,hizo enzi hio biashara ilikuwa controlled by the government ,so licence ilikuwa inatakikana,iliweza kufika tukitumia basi lakini tulistare at loss even before tuuze,.hizo enzi ilikuwa marketable juu it was used to brew changaa

hapo ni just business negligence… I thought ni market mlikosa. mimi siuzi kwa brewers

I sell sukar nguru in wholesale price. If interested please contact me 0714350301

Better mgejuindia hiyo machine ya kukamua…just a few heavy cogs close together going counterclockwise…on two shafts to be coupled on a small diesel engine .na a large thick sufuria for boiling the juice,and some moulds ,what you refer to here as nduma…buy sugar cane in bulk from marikiti and make your stuff…way cheaper than transportation.

Mafisi wa Kijiji mumeanikiwa namba peupe na nv…watu wakule Mali wakinunua guru