super quick sale of our extra Mercedes A160

Ukipata 300k please usijaribu kubargain,chukua na ukimbie bila kuangalia nyuma, infant tembea na logbook kila pahali mumalizane hapo. Yangu nilitupa na 280 nikongezea 100 nikapata demio 1300cc. I’e never steped into a garage ever since. Misha ni mteremko

gari zote huaribika. ata hizo toyota gearbox na engine huenda ukanunua tu. swali ni gearbox ya pesa gapi? toyota zingine gearbox ni 12k. its not even a story to tell gearbox unabadilisha ata hazifunguliwangi. Unabadilisha like its a normal service. mercedes gearbox yake ni story tofauti. obviously. na hako kagari kako na bad reviews

Gari tano na bado munarent keja.
Hapo ndio nimepotea kabisaaaa.
Hii labda inunuliwe kama panga imekatika(translate to kyuk)

lakini I’ll sell it at a throwaway… Spell check pia si mbaya ukitumia.

Hii box ndo unauza 390k?

Gearbox ya A160 local ni 100-120k if you do direct import ni 60-70k. Na hiyo pia itafanya poa for like 6 months on every day use depending on topography. If you live in hilly place or your drive way has a hill of 30° incline or more hiyo ipatie 3 months. I bought one that lasted 3 months. The third gearbox niliona tu ile sign ya ‘F’ (failure) kwa mlima I sold it immediately to some chic before it crashes on me. Hiyo sign ikikuja jua tu you have less than a month. I saw it months later parked in some garage in parklands inakula vumbi tu. Atf yake ni hiyo 12k. Ongezea labor plus it’s a very compact and complicated engine. You have to drop the whole engine to access it,noma sana. Hiyo gari ilifanya karibu nifungiwe nyumba

estate rules? UN? go build your own house.