sure condoms

Why use condom? fry what u trust

I wonder if pipo r still using condoms… Dry fry hata kana ni pokoste, 2020 tiba itapatikana

Watu wa Dryfry mko wapi. Condom ni za watu wana jokes

i think hauko crious na hupendi ur lyfe juu kaa ungekuwa wajipenda hungedai ivyo

I only use durex fetherlite ultra condoms na si banduki

Unapenda lyf ndio maana I only dryfry my own. Condom is a like an invitation to infidelity.

Ambia huyo daktari akuandikie jina za test subjects wake wote na methodology ya kutest hizo condoms na kama alimanga mmathe ako na ukedi kuverify hio Sure na cd ngapi ziliburst na gani hizo ziliburst na kama ashameza dawa alafu ukuje utuambie.

yeap iko tight sana…unaeza dhani ilipasukia nsani

he is the importer and is looking for market

I preffer Trust studded zile za orange.
Nikitumia hizi zengine psyche hairudigi haraka however hot theblady is.
Sijui ni psychological ama ni hizo CD ndio hudiffer

Nyoka lazima iingie pangoni ata kama shimo iko na meno

hakuna mambo ya trust ikifika mambo ya kinyap my friend.
wahenga walishasema shimo mbaya ni ya nyoka pekee na surwale haiwezi vuliwa ni yenye haijavaliwa pekee
you will be a disgrace to the village ukiwacha nyap juu ya trust issues