Surviving with In laws

Bibi naona ameamua kuwa watermelon anacheza both sides itabidi I be strict ama I play cool niende vacation ya one week me na watoto only wajitawale

Lol

Fanya shopping ,maziwa ya brookside, mafuta ya kupika ya bidco halafu utafute promotion materials za safaricom,jamaa itatoka mbio kama hiyo nyumba ni haunted

Btw ni UOTP damu which sina shida nayo its his right bora aheshimu code of ethics ya boma yangu or else mtu aende na dada yake watoto wabaki

:D:D:DYou’relucky boss. Turkanas will call all their relatives from lodwar wacamp kwako for 3 months. Ka ni mmoja acha tu ale ashibe

Hapana. Ni hizo story za kurogana

Hio pressure ndio ilifanya uanze kula minji mbichi ama?

H

Apana

Tafuta kamba ujinyonge

Si umuombe HKM? Iko nene? :D:D:D

Vumilia…, went through the same thing…kazi yake ni kuwacha mafloater kwa choo…not flushing at all. Kuoga maji everywhere kwa bafu. A funeral ushago ndio ilimtoa kwetu

Is it first time ? A brief meeting between the three of you is necessary Mark your ground clearly !

Lipia quma polepole wacha kelele.

Just have an open discussion with your wife and put your foot down, its not easy but better do it rather than living in your house like you are the refugee. After all you are not there to please the in-laws, more so like that one camping in your house to avoid responsibilities.

ngoja watoto walale uwekelee sistake mjulubeng kwa sitting room

must have been funeral yake, otherwise angerudi

:D:D:D hii kijiji iko na advice kweli, will he continue watching the tv ama the unfolding real time show - that might backfire if he is into porn

if you really want to get them out, if you have some spare cash, tafutia yeye bedsitter somewhere not withing walking distance to your place, lipa rent ya 3 months hivi and tell him its your gift to him, I am sure he will not even survive the 3 months alone, atarudi nyumbani

Why dont you get him out of boredom with something to do e.g. a job or college?

Mimi inlaw pia amekujanga(wanastay close) ati tution home… the first days sikuwa na shida but waa kila siku napata ndume home hadi saa mbili imestretch miguu hadi kwa meza na anaingianga 9am sasa tumekosana na wife already ati juu nilimkosea heshima mimi sasa nikuarrive malate night hadi arudi shule kukaa karibu na inlaws ni stress tupu