Taabu

Kali Sana buda

For the sake of entertainment, Kebs is suspended in this case

Tabia mbaya sana ya kufanya hivyo watoto wakisikia

Wewe naambie,what was I supposed to do? Nikatae kumtoa mama wa wenyewe kutu?

Hapo Sawa!

Oooh shida.

mbisha ya nini, kutu??

Pengine :smiley:

Haki hii kijiji mungu aibariki:D

Why?

Hekaya si mbaya. Lakini braza isiwe ati uko Mombasa ukajiona kuwa wafaa kujieleza, ilihali wewe mwenyewe kiswahili kwako maji jangwani. Siri ni toa hekaya na lugha ile wewe hutumia ukiwa na masebwa zako. Kama vile @Jirani. Ama ushaona @Meria Mata au @Supu don ama @mabenda4 wakileta hekaya zao kiswahili kwa kuwa wako Mombasa?. Siku nyengine braza usituletee kiswahili chako cha kibara hapa ukijifanya mswahili.

1 Like

You completely missed the point sir. I wrote this as I would tell it verbatim. Never did I,at any one moment pretend that I was doing a hekaya in Kiswahili since stay in Mombasa. Or did I?
In any case I have lived in this town on and off since the year 2000.

3 Likes

Kiswahili chako pia sio sahihi.ukiamua kuongea kiswahili mufti bora uwe umebobea sio kukashifu tu.

4 Likes

:D:D:D

UOTE=β€œLord Bailesh, post: 227261, member: 643”]Kiswahili chako pia sio sahihi.ukiamua kuongea kiswahili mufti bora uwe umebobea sio kukashifu tu.
[/QUOTE]

Kweli kabisa sio sahihi, nimeandika vile mimi huongea. Yani tukikutana tutachapa story na hiyo lugha naandika. Huyu jamaa daili habongi na hiyo lugha ameandika hapo juu

1 Like

Uko na ujinga sasa.:mad::mad: