Taarifa-tutakutana na Melo muda si mrefu,soma.

Hahahaaa

Mungu yupi,? Mungu huyu nnaemjua au mungu wa dar

Mungu mmoja Muumba mbingu na nchi asiyependa maonevu na dhulma.

Wizi wa ID, sio mshana huyu

siyo mshana ila imechukuliwa picha kama yake ta Jf

Ni mimi kaka

Chap kwa haraka kaka