Tahadhari kwa Villagers Wanaotoka Jamii Forums.

Kuna kosa la cyber crime linakunyemelea, kosa sio kutukana wenye mamlaka hata kutukana yeyote au kutumia lugha yoyote isiyobalika na isiyo na maadili bado ni kosa LA jnai.

Kaka

mpenda ngono na matusi wapi na wapi
ulishaona natukana mtu

Siasa ikishaharibika ngono hazitafanyika

Ngono inafanyika hata wakati wa vita

Sio vizuri kungonoka huku roho iko juu, juu km bombardier

Kijana umenifurahisha sana. Nilichokigundua Africa kitu kikitengenezwa na waafrika akidumu na hata kama kikidumu tunakiua wenyewe kama Jamii Forum. Siasa uchwala

Tena kwa wale ambao wamehusika kusambaza link ya jamii forums kupitia KenyaTalk kwenye Wasap groups wachukue tahadhari hii…the fact is wanafatiliwa kimya kimya.

Hahaa nice one,kuna watu huwa wanashindwa kufanya connection.In short siasa inagusa maisha ya kila mtu.Haijalishi ni shehe, Askofu or pagan.

Huwa nakereka sana na watu wenye tabia ya kuwaambukiza wenzao woga wao!! Sasa sisi tunaotumia majina yetu halisi si ndiyo tutajiharishia kabisa!!

Kusambaza link hakuna kosa kisheria.

Tatizo kuna mavileja hawajatosheka na kufungwa kwa JF sasa wamegundua kwamba huku hawana ubavu wa kufungia huu mtandao ndiyo wamebakia kututisha!

Uoga wetu ndiyo umaskini wetu.
Humu hatumtukani mtu, ni just freedom of expression.
Unajuwa ni sawa na mwanamke ndani ya nyumba ukimzuia kuongea ipo siku atakuja fanya tukio usilolitarajia.
Mtu akiongea anatoa nyongo zake yanaisha.

Suala la username na password hata ukitumia JF original App au browser lipo palepale (Hakuna tofauti na huku ugenini).

Labda tujadili vigezo na masharti ya KenyaTalk kuhusiana na usiri na usalama wa taarifa zetu.

Na nimeona Melo amekana kuhusika na hii JF ya huku ugenini.

Kwahiyo wewe ulitaka akubali?

Watu, mimi sielewi mjue

Nimekuelewa kiongozi
Nalog off

Linaitwa Mkuu?

jukwaa la wakubwa