:D:D…hekaya chief
ukishikwa maeneo ya river road usiku sema wasafiri pwani, worked for me at some point.
Hio area ni risky sana tulikimbizwa na majambazi kwa hako kachochoro ka Tahiti that place is a No No
Ndio nawaambia
:D:D reminds me of a time nikipita hiyo area kama nimelewa alafu poko aka block njia yangu akanigrab kama amepanua miguu alafu akanidry hump huku akisema twende shot. After releasing me from her embrace I walked about 20 meters jamaa flani akanifuata mbio akiniita “boss! boss!” Kugeuka akanipa wallet yangu. Apparently this poko is a pickpocket. I don’t know if the guy was in cahoots with the chick. But mimi ni nani? Those days nikipita hizo area nilikuwa naspread pesa in all my pockets and some in my socks. I had never imagined that I can be stolen from this easily. But I was drunk.
Strippers and prostitutes?
Didn’t ur parents raise u better?
The day u find @23going to this joints kama massage parlors mjue someone shot the real under23 in the eye and belly.
The only safe poko joint hii cbd ni SJ. Hizo zingine ni kujitaftia balaa to
Na ukiwa ndani
Na ukiwa ndani police wana
Na ukiwa ndani police bado wanaingia
Na ukiwa ndani bado police wanaingia
Ndani hautashikwa, lakini ukitoka lazima
shida ya sj ni kuwa mabouncer na mapoko walinitambua kama “mswahili mrefu” ikabidi nipunguze ziara zangu mle
Luthuli, river road, latema, duruma, hizo place usiku is a NO NO NO bana…huko kuibiwa ni rahisi. na pia kupigwa bling na ma njege ni noma sana!!
Ulianza kupewa coomer on credit? :D:D:D:D:D
I was about to ask the same?
Hawaskii ata ukiwaambia
Kwani we ni stammerer?? Si before ujitetee utakua ushafika uon
Tulikuwa na kapub hapo entrance ya Tahiti ile time Tahiti ilikiwa ndo kusema na ilitujenga sana
Hii hekaya hapana,sanasana hapo uliitiwa wallet,nigutee!
pole mku kwa yaliokutendekea, mara ingine tumia instaG kisha ubook hotel unyandue bila wasi.
:D:D