Tahmeed Bus Catches fire outside Manyani prison gate

Leo nimepita machakos rd industrial area, hio stretch ya police station imejaa impounded vehicles, could make out two msa route buses

Tahmeed zimechomeka nyingi sana, kesho nikumbushe nikuwekee mbisha na dates

Ud ni gari strong sana, huwezi compare na scania ama hizo yotong za china. Ile kitu haina ni mbio. Nilienda juba na kampala coach some years back dereva akaniambia scania haiwezi toboa hiyo rough terrain.

Changamwe police station leo
[ATTACH=full]208198[/ATTACH][ATTACH=full]208197[/ATTACH]
[ATTACH=full]208199[/ATTACH]

UD (made for Africa)

Kwani hii biashara iko na pesa kiasi gani, how do these companies manage to loose upto 10 buses per year each worth almost 10 million. Thats roughly 100 million per year

Ni mashetani waotumia ndo zinazichoma ama ju ni fake kutoka china

shida ya overheating breaks, wakati walibuy 15 units walizilaunch na vishindo na mageregere

Insurance.

Perhaps we should investigate further. In other countries where these Yutong buses are deployed, do they catch fire anyhowly because of brakes? If not, then kuna shida na drivers wetu or the bus’ maintenance as recommended by manufacturer is not followed. If kuna kwingine zinachomeka, NTSA should declare them unsafe and lock them out for importation.

Shait.
Saved a VW Beetle…and a heavily modified Pajero coz of bad wiring…
Natembeanga na extinguisher mbili.

mkamba pia sisi tuko na macho

Brakes? Battery? Wiring?

There was a Lexus that caught fire after an accident with a GSU vehicle near Limuru as did a 14 sitter Nissan, why do these cars burst into flames?

Owner namjua-nice guy. .Tahmeed owns more trucks than all the buses you see on the road.

nmetry kusearch but nothing of the sort comes up…meaning ni mantainance ndo shida

garage za kando ya barabara

But those Yutong buses ni mbovu. I boarded one ya Tahmeed. By the time tunafika Msa ilikua imezima kama mara 1,000 kwa bara bara

TZ yutong buses are the order of the day for long distance travel…maybe we should check there for such cases

@Okwonkwo njoo hapa
yutong ya TZ imewaka moto leo
[ATTACH=full]209726[/ATTACH]
[ATTACH=full]209727[/ATTACH]
here is their caption

Basi la kampuni ya Sharon aina ya zhongtong lililokua linatoka Moshi kwenda Iringa limeteketea kwa moto eneo la Bicha Kondoa, hakuna madhara kwa abiria na mizigo, chanzo cha moto bado hakijajulikana.