Tales on how you discovered Ktalk and how old were you?

Jiita muthee kubaffu

Hey hey all new villagers report to me first

Klist tuketi wapi?

few IDPs here !

multi handles hawa

I once visited my uncle in Germany before the fall of Berlin wall. Akanipeleka club moja tukunywe mzinga ya Smirnoff. Tukiwa katika harakati zetu za urefi nikaona dame mlamiste mmoja ameingia na dwarf fulani amemshika ile design Pepe Kalle alikuwa anawashika mbilikimo kwa video zake. Wakaketi kwa meza fulani karibu na sisi. Mbilikimo akakalia mapaja ya mlamiste. Kisha yule dwarf akaomba laptop ya mlami ATI anataka kupost kitu kwa blog fulani. Dwarf kuingia Google akatype Kenya talk na kulog in. Nikakuwa interested and I started visiting kijiji as a guest talker until I became an NV two years ago.( I forgot to say dwarf alikuwa amebebewa tuchakula fulani na mlamiste yenye niliona akipiga picha na webcam. Sikuelewa nia yake ilikuwa gani!)

5 years ago na bado hujakuwa elder…

:D:D:D:Dshosho wacha kutuanika sisi ni 21 year olds

nani vaa helmet [SIZE=1]ama ni gumboots juu hatafikia kichwa…[/SIZE].kaa tu hapo anakuja

Huh! I don’t fear anybody! Mimi sijataja MTU!

a year and half now