Talkers financial status

hangover inanimalisaaaa elders

niko na 13 million absa money market fund na 25million treasury bond
na 6.3m liquid kcb

nimepigiwa simu niende nichukue lx600 imefika
[ATTACH=full]440246[/ATTACH]

Watu wa inheritance hatunanga hizi ma shida ndogo ndogo.

Mimi ni maskini huku:D:D:D. Ndio maana nasema kenyans are rich mtu analia uchumi ni mbaya lakini ako na lx600 na flats tatu. Maghaseer:D:D:D

Following closely…
I’m waiting for ktalk alphas to state their wealth and share with us their financial secrets…

Were is rexumbwa, silverback,digi

[ATTACH=full]440265[/ATTACH][ATTACH=full]440266[/ATTACH]
Unasumbua… Hiyo ni liquid nalala nayo chini ya mattress na accounts khupipi hana idea they exist.
She knows me as a long suffering hustler…

washwash either utoe ya sirikali or we come for you

Nowander @kanguthu ananyambanyamba kila mahali akisumbua

I pay my taxes when I buy fuel and food. Ya serikali siijui… Na pia natoanga tithe…

Hebu tuma pin location. Kuna kitu @johntez addi gaza msafi anataka kukuuliza.

Hii nongwe kwani ww huilipa mangapi mkiithombotha matako chafu combi na @cheekbusta

Hii kijiji mimi ndio sina kakiru banae. 62k savings mbele nyuma lakini job napiga. Lakini niko twenties bado so I have time.

[ATTACH=full]440361[/ATTACH]
Ndio huyu, ashaanza kunitafuta…

Huogopi Ktalk CSI Experts

mimi sina kakitu, ni deni tu