umejianika :D:D
Honestly hawa wana bongo wanaenda kasi sana.
Yaani mmetuchukia hivi vyote mkaona hamtaiga design yetu ya JKIA mkakimbilia Bole?
Wakenya tumejenga kwa pesa zetu za ndani
:D:D
Hebu tuwekee za mwanza na arusha airport tucheke
Tanzania is not organised than Kenya. It’s good when +255 is thriving