Tanzania na Burundi East Afrika tuna gundu gani?

Asante sana kwa comment nzuri,tajiri m1 ana wafanyakazi zaid ya 100,wote wanamtegemea vipi ukimfilisi umeumiza wangap?
Maskini anaweza vip kujenga nchi bila matajiri

Asante kwa mawazo yako