Tanzania SGR updates

I get your point.
But lets consider other factors. Ukiona wamekopa mikopo ya namna hiyo labda walikosa ya mashariti na riba nafuu.

Mkuu mimi sipendi kubisha vitu sababu ya mahaba na chama flani au kiongozi flani. Mimi nasimamia Tanzania na maslahi yake. Yeyote anaeleta hoja yenye kulinda maslahi ya Tanzania nitampa like au nitamtetea kwa nguvu zangu zote.

Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini ni 'shabiki ’ wa Mh.Magufuli JP. Bado nina imani nae ingawa anafanya makosa mengi tu kama binadamu au viongozi wengine.
Inapo nilazimu namkosoa. Kwa mfano la mitandao, fedha za korosho, subordinates wake kupenda kujipendekeza kiasi cha kuwavuruga wafanyabiashara, na kutelekeza au kuvuruga mradi wa mwendokasi nitamkosoa sana tu.

Pia kuuwa shule binafsi kimkakati kama vile kitendo cha kuwanyima mkopo wa elimu ya juu waliosoma hizo shule ni kosa kubwa sana.
Wenzetu wajanja kama Marekani huwakumbatia watu waliofaulu vizuri(wenye vipaji) toka hata nje ya Marekani na kuwapa scholarship (huwalipia) ya kusoma vyuo bora Marekani na kisha kuajiriwa huko huko ili waijenge Marekani. Sisi tunakumbatia wa shule za umma tu na kuwatenga wa binafsi ambao wengi wamepata elimu bora kwa viwango sahihi vitakavyo wawezesha kuwa wataalamu wabobezi kwenye fani muhimu ktk ujenzi wa taifa letu hasa kiuchumi.

Ujenzi ni kweli unaendelea. Kwa pale Gerezani shughuli zinaendelea na watumiaji wa treni wanaweza kushuhudia pembezoni mwa reli ujenzi wa nguzo ukiendelea

Lakini ukweli mradi wa mwendokasi naona magufuli anauhujumu tena kwa makusudi kabisa. Jamaa hana huruma na hizo hela za watanzania.

Sawa sawa

Hao wanaojenga mradi ni robots? Tumia akili kidogo

Ujenzi uko % ngapi mpaka sasa? Hapo ndio swali la msingi dogo.

Redeemer komaa tu lakini ukweli mzee wa komwe anazingua sana wenzio kina geza hamu hawana tena.

Akikujibu nitag tafadhari

Hahaha mimi nipo upper layer mzee baba so haya mambo kuachana nayo inakua ngumu japo kuna kaukweli ndani ya statement yako

Of course project ipo under the schedule, the time frame is covered na inawezekana ikawa much further so bado wapo straight

Kuhusu hilo suala la ajira ndio nakushangaa unataka ajira za aina gani wakati hii project inaajiri zaidi ya watu laki mbili

Jibu swali, mpaka sasa ni asilimia ngapi?

568%

Sio ww tu, hata wenzako na waziri juu wanaopotosha umma kwamba kuna jambo serious linaendelea kwenye huo ujenzi hawathubutu kuzungumzia maendeleo ya huo mradi. Ni hivi, huo mradi unasuasua kuliko maelezo, na hiyo idadi ya ajira 200,000 chora chini. Hela za mradi hamna, huo ndio ukweli dogo.

Mzee baba tupe na update za Boeing. Vipi tuanze kuweka booking za Mumbai au bado na Bombardier ya kwenda Harare Maana mwezi wa saba ndo huo

Hesabu siku 2-4 kutoka leo kisha tukutane JNIA

Sasa ndo uone umuhimu wa jf. Yaani ingekua hewani sasa hivi kila kona ya tanzania kila mtu angeshajua. Na kampani yako geza motochini mulisasa mngekua mshaliamusha dude kwa wakenya. Kiukweli mlikua mnasaidia sana kuitangaza nchi. Ila ndo hivyo tena mzee baba huo umuhimu yeye hauoni. Ukipata muda utupie maendeleo wakati wa ujio wake

[MEDIA=twitter]1010520556683358208[/MEDIA]

Ngedele wamekuja kupambana na hali zao huku. Wambie, hukukenya hatutaki hayo maujinga.