TBT END YEAR EDITION

Kingfish biryani
[ATTACH=full]75682[/ATTACH]
pwani delights.
btw biryani hupikwa na raw pawpaws
CC: @Mrs4thletter

13 Likes

Childhood saving culture started with a tin bank/safe for coins.Did you ever have one?
[ATTACH=full]75683[/ATTACH]

14 Likes

tumetoka mbali
[ATTACH=full]75684[/ATTACH]
watoto wa siku hizi hawatawai jua what ā€œfunā€ we had tape ikimezwa

20 Likes

nani aliwai tumia hii padlock?
[ATTACH=full]75687[/ATTACH]

13 Likes

@Guru
watu bado wako na hizi vitambaa?
asking for a friend
[ATTACH=full]75688[/ATTACH]

20 Likes

Mimi

he heā€¦kumbe ndio aliambiwa na aunty atembeze mguu halafu akaleta hadithi ingine huku?..:slight_smile:

2 Likes

hii yaitwa Ndungumaria kwa kiswahili.
when is the last time you saw one?
[ATTACH=full]75690[/ATTACH]
pic coutesy of @introvert

2 Likes

@byro

1 Like

do you still have it?

watoto wetu wakienda ocha hua wanapenda kufanya nini jikoni? discuss (50 likes)
[ATTACH=full]75691[/ATTACH]

1 Like

very good for bathingā€¦

Ziko sana kwanza kwa my dad, hehehe

4 Likes

Hehehe.
Kweli kabisa.
Sheppart found this in 2009.
[ATTACH=full]75692[/ATTACH]

3 Likes

if Ktalk was this family when people took such photos,gues @Female Perspective ni nani hapa?..
[ATTACH=full]75693[/ATTACH]

21 Likes

kuchoma mahindi

2 Likes

No though I remember it was heavy

kuchoma mei na kuweka waru kwa jivu

:smiley: sisi tulioga na kangunia,we must have had some really tough skin,bf goodrich:D

6 Likes

:D:D:D:D:D:D:D