TBT: Professor Jay (long post)

Kamili gado professor Jay always gets me off my chair ikiwekwa

1 Like

Nd’o maana yuaitwa PROFESSOR Jay wala sio STUDENT Jay.

Jambo muhimu analofaa kujua msanii ni kwamba kabla kuwa mwimbaji ni vyema kwanza awe mshairi kisha mwenye uelewa wa fasihi na lugha. Ikiwa atakuwa na sifa hii muhimu basi ataweza kuzungumzia na hata kutetea mada yoyote ile kwa njia ya kuburudisha na isiyo ya aibu. Mifano mizuri wa wasanii wa aina hii ni kama vile Professor Jay, Dully Sykes na Ferooze.

Wanamziki wa humu nchini Kenya wanategemea sana midundo (beats) ili kuuza nyimbo zao kwa mashabiki bila kutilia maanani maneno na misamiati. Hii basi inawafanya kuwa wavivu katika kutunga nyimbo ambazo zinazungumzia mambo muhimu katika jamii na nchi kwa jumla.

Lakini wanasema kuwa msanii ni kioo cha jamii na wanamziki tulionao basi ndio sura yetu sisi Wakenya.

4 Likes

I normally look at E-sir as a sort of Tupac’s contemporary…he was really good…for some weird reason his songs remind me of Nakuru 10 a side…2002

2 Likes

Buuuuda!!! Kaka Sunguch ako ligi soo! Kwanza ngoma yake ya Swahili Shakespeare na Kichinjio. He’s one Kenyan Artist that I can listen to most of his music

Na bado hamjataja ROMA MKATOLIKI, STAMINA, KALA JEREMIAH, SUMA MUNAZALETI…

Marrapper nawacharaza mpaka wanaparara kama Sahara na vumbi ya maasai mara ksouth walikua juu Hehe…
Watu wengine wana tabia mbaya hehe…
Hii beat ni phat kama blaze
Ama kama sukuma wiki na mayonnaise
.
.
Remember those 3 songs?

2 Likes

This song is damn good. Feroze has some powerful voice. Halafu,hiyo collabo na Prof. Jay…
muurrda

https://www.youtube.com/watch?v=TxwT6t1QJRk

3 Likes

I remember him doing a swahili free style on Emcee Africa and the other artists went gaga. Prof Jay dropped crazy lines, I liked.

I bet @kyuktothecore hajasoma hii…na kama amesoma,his head is in pain right now.

3 Likes

Who was it that mentioned Dully Sykes? Reminds me of this:

https://www.youtube.com/watch?v=bzUHOuKXBmQ

2 Likes

Kala Jeremiah ni msanii shupavu sana. Kuna wimbo wake ninaoupenda sana lakini nasahau jina jina la wimbo huo. Real hiphop.

This song is addictive. The beat, the voice, the tone the message/content. Time to retrieve my CDs. Salome mimi naliaaaa…

Is it ‘Dear God’?.

:slight_smile: Agreed. Just had to retrieve my college audio CDs yesterday to listen to it.

…ingine is the word that is repeated most in the song. Words with -ingine. Do you know the song?

And he had some Tanzanian blood too. :slight_smile:

1 Like

Hussein Machozi anapenda punani sana na masugar mummy. Lack of discipline messed him up.

Zali la mentali is the name song…