TCRA Msishindane na teknolojia, kaeni na bloggers wa Tanzania tuyajenge

watakuwa facebook saiv yale hayana akili majinga sana shenzi

hapo kumtaka kila anayepost wamjue ni nani sio parahisi, Usishangae kujisajili Jamii Forums utataikiwa uwe na ID card

ha ha ha ha nimecheka sana ndugu yangu,

Tooba ni kurefusha neno Toba. kipindi hiki ni kipindi cha Toba kwa waisalm kama ilivyo kwa wakristu kipindi cha Pasaka.
Toba inatokana na neno kutubu. kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu

Hahahaaa

Naona yanazisoma namba MDA huu

Dada wa Juu anasema huu mwanzo tu na hutokuwa Diaspora via technology tu.

Jiwe ni kichaa kabisa, atapambana lakini hatoweza.

Teknolojia ya sasa hawezi kuizima hata kidogo, anataka kuficha maovu yake kwa kuzima mitandao, anakwama sana.

Platform zipo nyingi tu, akizingua pale tunaingia pale.

Msalimie Jiwe

Labda wazime Internet kabisa, japo bado kuna njia ya kuipata pia ikizimwa!

Jiwe amezingua sana

Yani yale madini yote ya jukwaa la kilimo na ufugaji tunayakosa.
Kweli ccccccccccccm SIO.

Ninachoweza kusema kwa wenzetu wa Kenya Asanteni saaaaaaaaaaaaanaaaaa maana ile hasira ya Bongo itahamia huku full kabisa tena watakomaje

Kuna mdau alishauri JF ibaki open lakini michango mipya izuiwe mpaka hapo watakapokidhi matakwa ya serikali lakini sijui imefikia wapi.

ila jiandae kufanya process ya usajili kama unasajili number mpya ya simu

Yaani we acha kabisa.Leo nimeuona Msafara wa Big Boss nikadhani naota niko Rwanda au Burundi kumbe niko Bongo.Yaani siyo kwa Wajeda wengi vile hata sijui anachokiogopa Mukullu wange

Waache wafunge tu,wakitaka kuwa huru wairudishe ilipokuwa zamani US,lakini kwa bongo watu hawatakuwa huru kabisa.Ngoja tuwe Daispora huku KQ

Jiwe katika ubora wake…

Sheria zile zote zilikuwa zinailenga Jamii forum. Zaidi jiwe linawasiwasi kuwa kwa kuwa limebana vyombo vingine, akajua kuwa nguvu ya mtandao ni kubwa yaweza leta mafuriko

Let us welcome our fellow here

mkuu mwifa tupo huku? Habar yako

nimemuona paskal tushavuka boda