TCRA Wamenipa Fursa Nioe Kenya

@Risk wachana Na hawa wambea Ni wivu tuu wako nayo aiseh:D:D:D:D:D:D:D:D

Guys mnanitisha kumbe ni dume asije akanigeuza

Wewe Unamfahamu

Huyo ni boyfriend wa @LIEN aka @uwesmake .Achana naye.

Simfaham lakini chunga, hii Kijiji Ni annonymous so huwezi Jua kama Ni roboti:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D

:smiley:

Wadau ngoja nilale kesho nisije chelewa kwa job, but i hope kesho nitapata mchumba wa kikenya

Leo/kesho ni holiday.Ama unafanya job kwa dala dala.

bingwashiroe fungua mtu kunyi akutambue

Aiseh wakenya wamekubaliana na lugha roundi hii.Ya ndwele sipite.these TZ midgets gon kill me:D:D:D