Tetesi:inasemekana wema kafanyiwa opareshen ya kukatwa utumbo mkubwa

Majanga sana,ngoja tuone atapata anachokitafuta.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Mwisho yatamkuta ya yule aliekua mke wa Obasanjo

Sijaelewa…

Kila rika lina raha na ladha yake. Pole kwao wale wote ambao wana hofu ya maisha ua rika/umri mwingine. Hawa ni watu ambao hata kama wana yapenda na kuya furahia vipi maisha, kama kabla kuzaliwa wangepewa nafasi ya kuchaguzaliwa au kubaki huko huko, wangechagia kubaki huko huko.
Na sasa wanaishi huku wakiiogopa kila hatua inayofuata.

si angeenda na yule kiparangoto wakamkate nae kile kichwa juu ya shngo yake waweke hata puto mana hakina kazi au abakie na kiwili wili tu.

Labda ngada za kulevya zilikuwa zimemwalibu utumbo siana jifanya kontena

Naogopa!!!

:D:D:D:D:D:D:D:D ama kweli umechukia jamaa

Bila picha ni porojo

Whatever

Wamkate na kisimi pia…

Amini