Tetesi: Jamiiforums kutorejea hewani kabisa

Maxence sio mpumbavu kihovyo kukubali Jf ikae muda mrefu kutokuwa online au kutorudi kabisa.

Haiwezi kufanya kosa hilo.

kajipange upya.

Huyu siyo Lizaboni bali anafanya mambo ili aonekane kama ni Lizaboni!

Huyu tulishamstukia toka uzi wake wa kwanza kwamba sio lizaboni halisi.
Yuko humu kutafta tu attention.

mwenye kusikia na asikie hivyo ndo nishasema

Sawa asante kwa TETESI…

anaweza kuwa competitor anavutia kwake
ila kwenye mkwanja usimuamini mtu

dah kama ya kweli hayo JF itakuwa imetusaliti

Mbona sielewi hapa Si Lumumba kweli???

Mimi naamini sarakasi zote za sheria za mitandaoni na takataka zote walengwa namba moja ni JF kwahiyo kurudi hewani tuombe sana Mungu na hata ikirudi haiwi JF ile tena.

…Kifupi tuseme byebye JF.

Sawa!!! Itarudi kwa njia ingine

Ndio ushasema!!!

we ni lizabon kweli?

Huu ni ukweli mtupu tena ukweli mtupu kabisa.

Mambo yanazd kwenda kombo

Lizaboni yuleyule tuliyemjua au tumtarajie mwingine?

basi watupe funguo tukakusanye virago vyetu.

Ovyo…