TETESI: Waasi Rwanda wako km 30 kutoka Kigali

afadhali

Wakimpasua huyu fidodido nitafanya sherehe kubwa sana

Yajayo

Wangesogea kidogo km 10 basi

Huu uzushi sijui unatoka Wapi, Jana nimeongea na jamaa yangu yupo Kigali anasema kuko shwari kabisa.

Siku si nyingi ataingia kwenye 18 lazima apasuliwe kichwa na wengine anaowafundisha ufedhuli wakome.