The big quarter final: Brazil vs Belgium

Then remove the word subbed

wtf ntv all 32 matches haushow game. vile nimekam home…

Kitu ni ya macho… Belgium first half watakuwa wamesha chapa mtu

Nakuona Chief, tayari Umetupa karata yako!

Hii kikombee ni ya Umbeliji !.

Watapeli wakae kando.

Hii si Gor Mahiya ama hekaya na vitendawili !
Don’t be emotional. Face facts head-on.

Pepo mbaya.

Link please…anyone.

Kwetse channel inaonyesha.

Huo mkeka ni wa tangu june 29, hadi sasa umechanika vipande viwili.

Nipo bandani hapa sasa hivi nione kama utanusurika au laa huu mkeka

Kwetse channel on gotv

In what situation can both teams be kicked out?
I care for neither.

Kila la heri Boss.

3-2

Brazil for the win.

Poa poa.

Naona mambo ni moto sana Russia muda huu

Hii mechi ni ngumu sana

Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal

Belgiumuuuu

Brazil are still winning this.

Belgium wanapeleka Brazil mbio kama baiskeli ya kuibwa

Ile kukaza mumekazia Brazil nyinyi watu wa Nyairofi kina @123tokambio @hakimoto @Okwonkwo na wengineo naifeel nkiwa hapa Nyaikuru :D:D Pris kazueni kidogo banaa kina Neymar waache kuchanganyikiwa wakifika kwa goal ya Belgium. Sande.

[SIZE=1]@hakimoto ata ka umeekelea kidney moja ka bet kazua banaa omwami[/SIZE]

Who the phuck gets nutmegged by Romelu? Smh