Wacha nita angusha heka ya pale sea front show ya redsan na dermaco vile tulipewa gatheri
Umenichekesha saana kaka brother, kiraiku huwa diluted na maziwa
alafu kesho pale mharo “how Dennis Oliech slapped me like a mburukenge”
Hehehehe
Angusha Hekaya tucheke!!
Nita angusha comprehensive one
Unajua niaje , kama ulikuwa unjiita MAVADO my friend ungeingia ndani. But hilo jina lako siku hiyo haikuwa imewikaa vile
Iyo siku kama nigepelekwa ndani hao vijana wagechafua uko sana
Mjamaa hizi bet zako zote naona ziko ndani aiseeh
Nakumbuka oliech akiwa fala mtaani mpaka alikuwa anawekwa bench Na jamaa alikuwa wanaitwa Rodgi wa majengo. Saw Rodgi last weekend as I went for a meal at Mpambe California, he lost some teeth and his face must have been battered in a few bar brawls.
Sparta story zako Huwa swafi kabisa.
:D:D:D:DAwesome hekaya
For sure hii hekaya ni tamu, kwanza naona vile ma left right zilikuwa zinakam
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
He he he!
It’s a small world…
Swafi…
Hakuna haja ya evidence!
One can vividly visualize the scenario…ngumi by ngumi!
show iliendelea after how many hours of interruption?
Heka poa TLS,lakini kumbe wewe ni midget?
:D:D:D:D:D…Hekaya iko on point.
:D:D:D
Wewe ni msee wa Marimbi Street?
Waudo street was the area I grew up in.