The Dreaded P1 Teachers

in Kenya, everyone has a grudge with a teacher

muhimu sana

Hii ending inakaa kama mwarimoo alikupatia kichapo H.K.M :D:D

:D:D:D @sodamadiaba

Kuna gems mingi hapa kama “I dived on the floor to avoid free samples on the back” :D:D:D:D

Funniest Hekaya

:D:D:D:D

Tatizo walikua wana malizia misongo ya majumbani mwao kwenye miili ya wanafunzi

kabisa

Mimi kuna mmoja aliwai nionekania without a legit reason then alikua kelewa. Siku hizi si hukutana mtaani aniniomba za macho namshow sina na anajua tu namnyima.

by the way sijui shida ya walimu wa primary ilikuwa nini

:D:D:D:D:D umenikumbusha far.

coincidentally kulikuwa na mwalimu anaitwa njoroge alituchapa daily 7 days a week na alikuwa Wa math.
tulikuwa tunamwita shorty

My class 8 teacher was so motherly. Alikuwa akituchapa but not sadistically.

MHSRIP.

kila mtu ako na ka story inahusu mwalimu wa primary:D:D

huyu ni mwingine:D:D:D

Tulikuwa Na mwalimu Fulani primary alikuwa anapenda kukuchapa ma free samples kwanza before the actual beating … alafu anakusho ati ana test kiboko:D

Hekaya iko sawa:D. Those teachers were worse than the colonialists.

Nimeshangaa kuskia alikua amasamehe mtoto wake… Back in the days kuna mwalimu alinifunza science alikua anachapa mtoto wake hadi tunaitana akuje ashikwe

Mr. Kyule, Tigoni Primary. 35 years on this earth and he still features in my nightmares

I once got 98% in maths lakini nikachapwa viboko most kuliko wa 40%…ati hizo marks mbili niliachia nani?

I once had an ambition ya kuwa mwalimu ndo nienjoy kurarua watoto viboko