The fall of Kenya Mpya buses .. where did they mess up this bad

Nakumbuka wakianza walikuwa na manganya hapo Caltex zimesukwa. I remember one that was called “Ruku” as in kuni…ilitupelekanga trip tukiwa primo tukaenda 14 falls hapo thika.

Mwenyewe amejipanga . He has a number of godowns along eastern by pass (Paleah stores) plus he is a major distributor of sugar.
Probably amechoka na hiyo kazi ya transport…

Labda amepata license ya kuleta GMO akaona transport inampotezea wakati.

Hakuna kitu kama io. Compare kenya mpya na super metro utajua kwa nini moja inaanguka.

Hawa ni kiburi iliwamaliza. Walikua na madharau to an extent of kurusha abiria nje badala ya kusimama kwa stage washuke. That’s why people would rather que for supa metro than board those tucker tuckers. Hio upus ya ati they were too big…they were ugly…ni upus tupu. When a better option came along, the people decided to punish Kenya Mpya for their arrogance. Heneway, kama ni ukweli ni ya the Ngiricis, they can afford to dispose them and concentrate on more profitable ventures.

Unangoja nini??

BasiGo itatandika wengi RKO

Interesting… You got his pics

Nope…jaba baze stories

Hata ukiwa na pesa aje it is very painful to fall under the hammer.

siasa!

It is true about the economies of scale but beyond the size of metro it starts to go downhill, issue like the bus being slow (huge body small engine), longer time needed to fill the bus especially off peak hours, more time required for passengers to alight, it used to stop almost every stage along the way and it would go picking passengers, you board the bus and you have to walk 20m to the back seat in a moving bus and so on.

Campaign ya Ngirici gubernatorial hapo kirinyaga iliwakamua proper August. Sijui kama watarecover. Let’s wait and see.

They rebranded to Lothian bus inakaa kama hearse

leta hio hekaya. Elders wanangoja hio explaneshen

Hio biz ya shuge nilitaka kujoin nkaambiwa Ina wenyewe, this time nikona a close friend na ni Mhesh nataka kuona kama itawezekana

kuna ingine ilikuwa na tu dame twa sijui gretsa ama mku tulikuwa story from the moment tuliingia. huyo “muhubiri” mwenye kwanza anawaambia vile mumeoza figo, matumbo na hamjaosha damu na mtakufa before your time ndio awauzie some blood cleansers na kidney renewers alikuwa na nerve ya kuenda mpaka mahali tudame tulikuwa tumekaa kutwambia ati tunyamaze tumpatie heshima. the balls on that mufucker! na hata hakulipa fare
:D:D

@Yuletapeli usiwai kubari hawa majamaa wahubiri kwa gari zako. Wataharibu biashara yako.

:D:D:D:D:D:D

Penda sana. These buses were a nuisance and driven by maniacs

Kenya’s bonobo culture renders some businesses unscalable. My parents tried to venture into transport business. Managing that business remotely is impossible unless wewe ni polisi mkubwa ama deep state flani. Utaibiwa na madere na makanga wakikupatia maexcuse ka zote. People who survive this business are very mafia, even willing to kill employees who try to con them.