The kenyans we have

So cold. I avoid funerals too much. I think nikikufa mazishi yangu itakuwa na less than 15 people juu mimi huwa siendi za watu

Na karatasi ya kuprint + cartridge + transport to & from gil gil + kulipa assistant wako +++

Tell me y’all beat his ass up…

siku hizi hakuna utu, at my mum’s burial waliiba hose pipe ya maji, unashidwa kwa Nini tank haijai unapata pipe ilienda. Na watu wako kwa tent I say

hii country kitunguu hunukishwa in ways you can’t even imagine

sioni ubaya wa mimi kupigwa picha in remembrance of that day

No problem with that. Willing seller willing buyer. Jana tu watu walikuwa wanacomplain mambo ya kuomba omba. Sasa mtu akijitafutia, shida iko wapi jamani.
Or you want them to borrow you money forever.
Hata chang’aa na slices huuzwa kwa matanga na hatuna shida huko home.