The KKK

Hiyo kunguru ilikuwa imeokoka

From what I’ve read makanika alipigiwa smile na kunguru akiwa kwa Bajaj

Kunguru spotted with mekanika
[ATTACH=full]167870[/ATTACH]

in other stories

[ATTACH=full]167871[/ATTACH]

the bald also cry…

BTW @introvert I stumbled upon a village of sly bald guys like you. https://www.slybaldguys.com/smf/

:D:D:D:D
Naenda huko.

ukipoteza archibald utarudi Pattaya

hii hekaya lazima tuambiwe

At least hautaona footprints zangu tena

@introvert kawaida tunasema pamoja [ATTACH=full]167887[/ATTACH]

halafu pia ukiona amekufanya ivi kimbia

[ATTACH=full]167888[/ATTACH]

[ATTACH=full]167908[/ATTACH]

btw nikitoa kunguru manyoya ni i dissect vizuri nipike na nyanya na vitungu niweke Royco munasema siwezi kula kwa ugali ni enjoy ?

Nyama ya kunguru ni toxic, hata ukimarinate na Diazinon haisikii.

Kunguru hula kila kitu kama wanyama na ndege wadogo, wadudu , mizoga, matunda , nafaka na pia binadamu, so chunga hasikudisset wewe kwanza

:D:D:D
@admin ona hii ng’ombe.

Ama ni the Bald and the Beautiful?

Inakaa leo kunguru alikuwa mchokozi sana.
[MEDIA=giphy]RRcV1iVG7Tl84[/MEDIA]

Hii si fair.
Sheppart haijasumbua mtu.