The lady's mind in a Faulty Car

Siku ile gari itastall ukitoka Ole Polos na mama ndio utajua huko ni wapi.

kujitolea tu

Wakenya watrue

naona wateja wa kenya mpya ni wengi hii kijiji:D

Kuna time niliamua ku flex na old Noah ya mzee when he travelled hapo campus. Ndio huyo mimi I call my girl namwambia don’t bother taking a mat leo i have a car, I pick her up hapo ngara. Kidogo tu the car stalls bloody hell I try switching it on wapi. I get out open the bonnet and use some unconventional means trying to get the car to start. Sijui kuchukua mawe naanza kugonga the battery terminals, all the while the mbitch is inside looking at me like the complete failure I was. Finally iliwaka but ikazima tena, rinsed and repeat the same process for more than 3 times. Watu na kiherehere ndio hao kuchungulia ni kama msee ame dead. That was my most embarrassing day with a car. I later realised the car had not been switched on for a atleast a week so sijui battery ilishuka something like that.

Hehehe, ni kama kuna 4am ngapi kwa siku, hii kizungu yenyewe ina kwao

so haikuwa inacharge pia?

Nimewahi pata jamaa ang’ang’ana na jack juu ya puncture na kunguru mbili zimekatalia ndani ya gari ati, “It’s too hot outside.”
Senji kabisa.

:):slight_smile:

:D:D:D:D:D hii ni tafash joh

engine ilichemka pale longonot saa saba usiku . wacha tuuuu

Yah something like that

Uko na hakika haukua umekamuana kwa hio gari

Drain maji ya tap and refill with OEM coolant.

Jeso…am dying:D:D:D:D so he was lifting them too?:D:D:D:D:Dhonestly tears are rolling down my cheeks and I will not say why. Let me just say my midweek all made.

:D:D:D Hii imenichekesha sana, mnang’ang’ana kuskuma ndai alafu eti iko msee ana tulia tu ndani alafu tena jamaa anataka uskume pekeyako:D

Tukiwa shaggz barabara ni shamba kukinyesha. There are lots of hills so back road zote ni mteremko/ mlima. Juu ya erosion kuna mitaro deep kando running down the road.

Nilikuwa passenger one time na mtaro ilikuwa side yangu. Gari ilikuwa kubwa so kukwama haikuwa shida. Shida ni kuslide na nilikuwa naona side yangu ikiingia kwanza na hapana tambua accident. Nikaamua kushuka nikatembea hadi main road.

Nilitembea 2km matope ilikuwa imenifika hadi kifua.

That’s why I advise to get a jack that’s rated higher than the weight of the car. If you need to use it on that day when it’s raining you can be sure your passengers hawatashuka.

Huko ni wapi matope inafika kwa kifua na mtu bado anatembea?

Was he on all fours; maybe?:smiley: