The thing I don't get about Kenyan online sellers

@patco na @Mtihani wa mwisho wanapumzika? Sahii naona ni shift ya T.Vercetti :D:D:D

Usianike mwizi mwenzako. Come slowly.

I can’t count the number of times I used to hear back in the day , “Buda hio series ni complete episode zote 22 buda! Ikikataa kujia ingine.”

Kufika unakuta either ni blank DVD ama episode 1, 8 , 15, 17, 19 & 20 haziko.

“Buda hata game ziko!”

Saa hizo hio CD ya game iko na virusi ingine inaiua hadi screen. Covid19 trojan horse.

Halafu?

Na hakuna watu wako na wivu hii dunia kama watu wa movie. Ukiaskia mtu wa movie amesema, “Jonte yaani tuseme umeamua raundi this ni kavitz, hutembei tena?”

Kwisha wewe. Hama hapo mapema.

Hautawai pewa series kamili ama movie HD tena juu ya mawivu.

Na story yako ataieneza, “Cheki ile gari jonte alinunua. Na unajua mi huskia huwa anauzia wazungu mkia huko Carni ndio maana amekafunga hivyo. Walai hawezi kosa mdudu Jonte!”

Waaah, hii story imeshika.
Endelea.

Ungesoma kitabu ya physics kwa umakini vile wewe huchambia ile album ya DVD si tungekuwa tunaongea story tofauti sasa.

Kama saa hii najua unajua Taken 3 iko page ya tatu kutoka mwisho, album 2, Action Movies van damme.

Kabisa! Endelea kiongos, this story is quite riveting.

Ungekuwa unaandika equation za hesabu kwa umakini vile unaandika jina ya movie na felt pen si sahii ungekuwa unatomba Meagan good??!
Ama huoni hivyo kiongos?

Naona. Megan Good na nani mwingine?

Labda uniambie kiongos. Nakumbuka Meagan good pekee. Wewe ndio unadeal na ma-actress.

Na huko physics, hamna ma-Megan Good huko?