The things we do as laboratory scientists

Utakuja kufanyia patient blood transfusion na maziwa ya tuzo

:D:D:D:D, ata kama ni tuzo lazima crossmatch kwanza ifanywe. huwezi transfuse incompatible blood

The thoughts of milk near blood

:D:D:D:D:D:D:D We believed maa comunity drinks both blood and milk. Is this true??

:D:D even Mugo wa Wairimu was storing beer, milk and left over food in the same freezer that stored medicine and other medical paraphernalia

una bahati alipata more milk kwa freezer…zamani watu waliamini DO sana.1998 after elnino rains kuna DO alituambia serikali ndio ilismamisha iyo mvua…meanwhile semeni muongezewe phlebotomy space

@Phylgee anatibu nini? [SIZE=1](usinipige sweep priss)[/SIZE]

:D:D

:D:D:D:D

D.O alikuwa antafuta bust of the decade ifuatwe na promotion

naona kuna kaukweli apa

Hope you changed from this weired unprofessional habit other wise you need to register for a bio hazard training

of course my friend, that was then

Familiarity brings contempt. Hata wewe, (if you are married), when you were dating your “hamburger”, haungenyamba ovyo ovyo, you placed your best foot forward. Mikishaingishana box, hiyo kunyamba sio big deal. Unaifanyanga openly, kwanza ndani ya blankets. Ngai

@bibi ya mwenyewe kuja uambie huyu ujuzi wako

@Greedy Genius ngoja nitafute sweep

juu unafanyiwa hivo na bibi yako unafikiria ni wote tuko hivo??pambana na hali yako

May be its that time of the month but…truth hurts too (kikikiki).

bracing myselefu

Invest in those small fridges za 10k -12k apo banaa.

That stored blood could easily contain ebola bro