The two people I will never kwichi with are housemate and workmate

Ujuzi katikati ya miGuu

Mkuu kuna time hata Ofisi ya Jirani tunapiga tu, tooYoungToBeStressed.

Labda wanaume wa Dar.!! Applicable only for Women coz papuchi ndio silaha pekee kwa mwanamke, akitoa hyo huwa anafikiri thamani yake ndio imeishia hapo, ila kwa kidume ndio kwanzaaaaaaaa picha linaanza.

workmate hapana kwakweli never ever
hata hapa Jf no no no :D:cool:

Due! Sitarudia kudate na workmate ilinitokea tena tulikua offic moja meza tofauti…hatukuchukua hata mwez tukamwagana due! Niliona office chungu,kidogo niache kazi

Na kwa nini mapenzi yaishe? Maana kama mlianza mahusiano baada ya kusomana hayapaswi kuisha. Lakini kama yalianza kwa mfumo wa one night stand for sure yataisha. But then; if you do it without long-term plans why bother? Kuna watu walikuwa work/house mates now are married couples. Unalielezaje na hili? Mtu asifikirie kuoa/kuolewa na house/office mate wake?

Kama itaishia huko ni kheri lakini mitano mingi ya huku kwetu Kwamtogole katika nyumba za kupanga. Unakuta mtu anaongea saa 10 alfajiri ili asikutane na mbaya wake ilhali saa moja ndiyo anatoka kwenda kazini. Sasa hapo si umejingea Segerea yako mwenyewe?

Si unasogea hapo mbele tu kwa bi nyau, au ukipanga kwamtogole hutakiwi kuhama? Na utakuta mkikutana na huyo aliekumwaga anakuzoa tena baada ya kuhama eneo.

Hata nikihama Kwamtogole hakuna atakae itoa Kwamtogole moyoni mwangu

Kuna sekretari hapa ofisini namvizia nimtafune,naona unanikatisha tamaa.

Duh huyo ni balaa

 minilikuwa najiapanga kwako?

ukipanga nitapangua nawaogopa vijeba vya humu msg tu vinasambaza vikipewa papa si vitakuja kuianika hapa jukwaani hapana asee

Ni kweli aisee

  usipangue aisee usiogope

Aah wapi

Tutayajenga vizur

Uliyenaye akijiunga hapa utamkataa?

huyo achana nae he is a man enough hawezi tangaza tamu ya mkewe.

Kumbe hoja sio kuwa JF, bali kuwa mwanaume wa kweli,