:D:D:D:D:D
1 Like
Roger that, but juilize ni wangapi Nairoberry wameibiwa simu halafu mwenye ameiba akawika “mwizi” akikupoint. Jipate kwa hiyo scenario, ndio utajua mob na njaa yake ya justice sio mama ya mtu (Duale, 2014) :D:D:D
1 Like
Hehehehe. Nicely written!
1 Like
We’re cool, bruv. But next time,…[ATTACH=full]9829[/ATTACH]
Kweli lakini kuna venye nakuaga nimejitambua though watanigonga lazima wengine niwakule makahasho kadhaa
1 Like
Kweli, pia mimi wangeniamulia singekufa kama kondoo, ama kama Stephen nikisema “baba samehe hizi nyang’au”
2 Likes
Fist
:D:D:eek:
wapi Emoji nicheke!!