They finally met

ok

Actually they have been apprehended by flying squad ziko Kwa ground Yao, hizi ni zile huskia high profile cases

Ata kama uko na genuine paper work lazima watataka kujua kama mko na uhusiano na mwenye bonoko papers…

Ati discuss?
A crime has been committed and unless a tidy sum changes hands, someone should cool his heels in jail for a very long time for fraud, theft and forgery.

Kwani parenthesis zilipoteza maana? Neno hilo nimelitumia Kwa kejeli tuuuuuu…

Eugene Wamalwa likes this.
Gumo reacted to this.

[SIZE=1]hizo ni quotation marks bro[/SIZE]

Alaa! Kumbe wazielewa. Ndio hizo sasa, alama za nukuu. Sande sana Kwa rekebisho hilo.

Hizi kesi zimezidi siku hizi… Watu wanajipata hapa ni wale walinunua gari bila kufuata all checks. Ama namna gani? Unanunua gari kama baiskeli

If all goes well, we should have them in about 5 months from January.

Maybe from May next year we should have them