Throw back Thursday in technology

Umenikumbusha mbali bro…alafu kuna venye ulikuwa ukianza kucheza unaconnect sijui nini kwa telly neighborhood mzima hawawezi watch channels tv zao zinaonesha tu game yako.
Wacha nidownload mario kwa phone juu ya hiyo story.

4 Likes

Drown ilikua ya kasmall bro ndio anafanya izo photography & journalism

1 Like

hio game ilikua na interference mbaya hood tulijulikana mbaya mzee aka ban hio game

1 Like

Nakumbuka kwa tv yetu ya panasonic crt kulikuwa na hack fulani unacheza na remote such that hio floor ya super mario haikuwa inaonekana. So ata hungeweza kujua pale shimo ziko, you had to rely on your memory. Tulikuwa tunaweka two player tuone nani anaweza enda mbali bila kuingia kwa shimo…hehehe

2 Likes

Hehehe…bradhe kwani you were my neighbour…nakumbuka kana channel ulikuwa unafungua unapata mjamaa akiguza super mario…

1 Like

I loved contra, miss it to this day

3 Likes

Mi nilikuwa nacheza game kwA ile floppy kubwa 3 1/2 alafu kuifungua inabidi unatype dos commands

1 Like

TBT Brick Game :slight_smile:

[ATTACH=full]74197[/ATTACH]

4 Likes

Tetris buda Tetris

Hio snake nilikua naicheza mpaka inajaza screen, yaani game inaisha juu hakuna mahali pamebaki pa hio nyoka kwenda.

1 Like

A whole 1.4MB. Yangu ilikuwa ya ku-save write-up ya project colle.

We used those in high school. Hizo vitu zilikuwa zinatetemesha watu saa ya project presentation. Umesimama hapo 1 minute unaskia floppy ikinguruma to ndani ya drive lakini Exporer haifunguki. When it finally opens it’s like the Messiah has come. Copy haraka to desktop.

1 Like

GTA IV was the thing back then, tukicrouch kwa jirani tumepanga line kila mtu aplay

[ATTACH=full]74300[/ATTACH]

3 Likes