Tinder Badoo Hoax (Watchout)

stallions hazichezwi hivi …eat or be eaten
[ATTACH=full]139397[/ATTACH]

Hiyo “ashubuyi” is a dead giveaway!

Za wanaume hupotelea kwingi

And his mother probably lives in a mud hut with no running water.
Jesus is watching him.

Kuna moja alinirushia inbox siku moja 2015. I was bored so nikasema wacha tuone mahali ujinga umefika. I frustrated the guy so much hadi akaanza kuwa desparate…hawa watu ni jinga kabisa!

https://i.pinimg.com/736x/09/37/ba/0937baf34deb7833d33127de6c4d97d3--funny-things-funny-stuff.jpg

Kuna mmoja alijaribu kunicon nilikua nimeweka ad Fulani ya biz na hakuna vile huyo con mzungu angeweza hio biz alijaribu nikalenga hizo calls na SMS baadaye nikama alijua