To my archduke

Morning to you babe

Daaa umenikumbusha jolie jolie wangu

:smiley:

Hahahha nn sasa

Mwambie aje huku

Ata sijui ni nini ila najikuta nafurahi tu

Hahahahahahah jamani bila sababu kweli??

Kabisa yani, ila labda ujumbe utakua umenifurahisha

Hahah sema hakyaMungu

HakyaNani tena

Hahaha sjasema hivo

Hahah!! Umesema hakyaMungu

Eeeh mesema hivo

Aya na mimi ndio nishasema sasa

Hahaha haya sjabisha lakini

Woyoooo…
Mpendane tuuu jamaniii, hakuna furaha kama kupata mtu anayekupenda, kukuelewa, kukuvumilia, kukuheshimuu na kukupa mahelaaaa!!!
Mungu awajaalie kila lenye kheri jamanii!

Haha lazima ugusie pesa wew

Ahahaha @Sakayo unaongea ukweli kabisa,

Amina mama Mungu mwingi wa rehma atatufikisha kule alikotuandikia, hapo kwenye mahelaa hahaha me nataka kupendwa kuthaminiwa kuvumiliwa kuheshimiwa na anipe muda wake anijali had nijionee wivu mwenyewe na yote anafanya nashukuru na anajua kujingeza mana siwez kuomba hela kabisa

Hahahaha
Sasa nani ampe mbebez wake mahelaa… Hata ya bando la kuja Kenya jamaniii

Ewaaaaa
Kama anajua kujiongeza hongera best… Mwenyewe kuomba mtihani ila mwanaume akishakupenda lazima ajue wajibu wake!!
Mungu awatunze mwaya!