to wannabe home owners

Right now you can’t get even a bedsitter in that area at that price.

1 Like

wewee wacha hizo. hapo nimekataa. unadhani mbona blue gum hata ikiwa hard wood ni cheaper kuliko cypress yenye ni soft wood??

1 Like

kokoto mchele ni half inch. 2inch =50mm hilo ni jiwe boss

wacha kujifanya fala hata kama unajiita fala jiwe ya ndarugo 200mm ama 8 inches

Umejaribu but bado umeanguka

shida ya blue gum ni kutoingia misumari ikikauka na kubend usipoacha hiyo mti imwage maji

Wakameat endelea.
ukiona mawe ya Mombasa utalia.
Hua ni coral stones mpaka upige plaster pande zote.

1 Like

Tumia steel nails, or you want to tell us dry bluegum is tougher than concrete?

Labda Gashwin atoe maoni

Boss he means 50THK concrete topping

Lakini Wakameat, hata mabati alone you will have to cough more than 70k. Or are you using Simba Mabati? A 3 bedroom house will use over 80 mabatis. Ebu hesabu i mabati = 900 to 1k…

@Wakanyama please confirm if this request will be honored on another thread which you plan to post later

Moja ni noun ingine verb, what is given and what you get are both nouns

1 Like

OK, am no longer trolling, would seriously need to learn more about this.

hii ndio hollow block[ATTACH=full]13401[/ATTACH]

thats the biggest lie that @Wakanyama has given today. shuttering ni lazima

@Guru tumesema ni nyumba ya mkulima mdogo tunajenga,kwa hivyo unause ordinary mabati bora uwe na a roof over your head ,

1 Like

blue gum hata ufanye nimi lazima ita warp ( bend in your terms) so for whatever reason usiitumie kufanya roofing

@fala why should i lie?ulizia,technology ni mingi zakutofanya shattering,and this is just one of them

2 Likes

Boss tunajua wewe ni engineer but usidhani u know everything. Wakameat is talking about a primitive form of precast construction. Kua mpole, reduce your pre judgemental attitude and learn something.
@Wakanyama saidia sisi na picha

1 Like