Top 20 Most Profitable Crops To Grow & Profits Per Acre In Kenya

Jaribu barley,ngano tamaliza wewe bana…Hizo madawa zote bana…Niliipanda thrice,mara ya tatu ikanipa like 5k profit for the 45 acres nilikuwa nimelima,sijawai rudi Ololunga tena.
I took it like ni nature ilinihurumia na kunirudishia production cost yangu na kakitu juu…that was in 2016.
Beste yangu wa campus akaniunganisha na 20 acres pale Mau summit,nikaanzana na barley,all was good till covid struck,mliwacha kunywa beer,last crop niliuzia mtu wa kutengeneza animal feed,haikuwa mbaya but breweries wangelipa poa zaidi

Kitunguu Iko na pesa.

Huwa nasikia iko na pesa kwanza ikiiva wakati kuna market demand,but hiyo sijawai jaribu

1 Like

Was a good harvest, profit of 16k per acre