Traffic accident with a KQ plane

yyeah naona ivo kwani uyo ndele wa hio lolli hajaandikwa na KQ ama walikuwa wakifuta mapirot pekee.

Hehehe. Shait.
Hii unaweka vinyl sticker ya white fasta fasta.

Hehe kameandikwo na Kenya Airports Authority, KAA

na ikitokana ndege ikiwa kwa hewa??

Tunaweka kwa CV ya the ndeffo haraka sana.

Si waelewane mbio mbio, hio tu inahitaji rubbing compound. Ama pilot ni pink handle? Hapo itabidi flat bed ikuje.

pilots washafanya flight checks,NAS isha load food stuff ya hiyo flight abiria washaitwa kwa gate then a call come saying “Nasikitika kusema ya kwamba Abiria wa KQ762 hawatasafiri leo”

Huyo mwenye alifanya hivyo si alijichuja job tu na akatokea gate ya nyuma

:D:D:D:D:D:D:D

Ground handling sio responsibility ya Kenya Airways. Wao ni service wanapokea like any other airline and tgey pay for it.

My friend quit the matatu biz ju ya hizo foncalls. Mzae kuna kafala kalicross riad viujinga nikapita nako. When asked if he stopped. Zi mzae. My friend had to go to every hospital looking for the victim. Got him at knh and negotiations started. Footing bill, upkeep for family for three months. He sold the two mats.

huyo ako na roho poa

I know the feeling very well.

@introvert apewe ìyo job wakiwa na rende yake ya mekaniks.

Mi siezi jitoa. Nakaa tu hapo. Shit happens.