Traffic alert: A109 @sultan hamud

Msee ako na SUV 4*4 kitu kama Toyota Landcruiser hapa anapata nyege akiona hio rough road section.

Totally!

That white knighting you defined once upon a time?:D:D

:D:D:D:D:D

Pia uje na ile kofia ya Actros

s

sawa VC.

Jioni jua, asubuhi mvua…

:D:D Lakini unaeza ambia @pseudonym akuje.truck hoes hawako huku

[ATTACH=full]138229[/ATTACH] [ATTACH=full]138230[/ATTACH] [ATTACH=full]138231[/ATTACH] [ATTACH=full]138232[/ATTACH] [ATTACH=full]138233[/ATTACH]

@pseudonym kwani unakuja na mguu, Habari ndio hio

Climate change is real

Umecheka saaana

message from fellow crew “reroute to Wote or Emali
through Machakos Wote road.thus
coming from Mombasa divert through
Makindu or Emali to Machakos.Daraja ya
sultan hamud Mombasa road
imebomoka na mafuriko ya maji ya mvua.akuna kuendelea na safari baada
ya salama,ata usijaribu kwenda mbele ya
makutano ya masaku,endelea na safari
kupitia Machakos wote road mpaka
makindu ama Emali ndio uingie
Mombasa road.”

[MEDIA=twitter]929292033675616256[/MEDIA]
[ATTACH=full]138246[/ATTACH] [ATTACH=full]138247[/ATTACH] [ATTACH=full]138248[/ATTACH] [ATTACH=full]138249[/ATTACH]

niko hapa mazishini

kuja hadi base ya SCANIa EA. utanipata hapo

acha hii shughuli iishe nitembee hizo maeneo

This is one tough truck

This must be one tough truck…I’ll definitely get myself a Vulva truck!

Kawaida yangu :D:D