Train Zimecome

Haiya hata sio kenya…hehehe!

Its a foward someone sent to me…hehehe Eletrical…hihihihi now that u’ve pointed it out its funny!

Leo walivamia wale manyala wakupika cham na sendule huko mishomoroni beach. Lakini hawakupata pombe. Wameharibu hivyo vifaa vyao vya kupikia. Uzuri hawajagusa mnazi, maanake hawatatoboa. Itawalazimu kukata minazi yote pwani, jambo hawawezi kusubutu.

Ati stool! Weeee, tiga wana.

1 Like

:D:D:DAma unashika chuma!..its just my imagination wandering!

Sasa nyinyi hushinda hapa mkisema osungu ilikuja na meli. Oswahili mtasema aje?

1 Like