TUCHEKE, TUVUNJE MBAVU, TUONDOE STRESS

Leo nimeenda kuchangia damu hospitalini,mara wananambia soda na biskuti zimeisha…!
Sa hii nipo zangu njiani na damu yangu kwenye blood bag naelekea nyumbani. Bora niwapelekee mbu take away.

Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji… Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.

Ex wangu leo kaupdate status yake ya watsap et “NILIOTEMBEA NAO WOTEMKAPIME” Saizi nipo apa pa fundi nguo pana foleni sanaHarusi sijui lini anapenda kushtukiza sana

Jana nimepita njia ya mkato makaburini warembo wawili wakawa wananikimbilia wanatetemeka Eti tunaogopa kupita peke yetu na mm Nikawajibu hata mm nilivyokuwa hai nilikuwa naogopa sana . Wakazimia
Sipendagi kufatwa fatwa mm

Nimenunua chips ili nile kwa bahat mbaya mtoto wa mama mwingine amekaa next to me akaanza kuzililia.
Imebidi nivae earphones. Napenda watoto, ila utoto ndio sipendi

Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!
I think nakaribia kupona.

Mke wangu kapost status kasema wanaume wote ni ng’ombe, nikamuuliza baba yako umeshamkatia majani? Nashangaa kaniblock.

Tuliozoea kusema Rokoo badala ya ‘Roll call’ tunyoshe vidole. Hahaaaa:D:D:D

[ATTACH=full]176994[/ATTACH]

Sasa hii midoli ukirudi kutoka kazini si utakuta mtoto kapandisha homa kwa kulia…

hahahaaaaaaa

kama wewe ni mwanaume na haungalii kombe la dunia jitajidi uanze kufuma vitambaa

We jamaa kwa kamba tu hujambo

[ATTACH=full]178795[/ATTACH]

Hai

Haifiki hyo bei, hua inacheza kwenye m 70-100, binafsi nilishauza yangu moja kwa m82 mwaka juz

PALE UNAPO MLIPIA MWANAO ADA YA SHULE KUPITIA… M-PESA 2,000,000

Ghafla unashangaaa

Ndugu mteja umepokea dk 95,000,000 voda-voda dk 65,000,000 mitandao yote Tz,Gb 10,000 na sms bila kikomo.Tumia kifurushi hiki ndani ya masaaa24

Ndipo utajua kwanini ndege haina site mirror :frowning:‍:male_sign:‍:male_sign:

So unamoja sahivi??

:D:D:D:D:D:D