Tuhame na ID zetu za zamani

Dikiteita amefunga JF mkashangilia, sasa huku unatafuta nini? Una akili ya kushikiwa kama mlivyo lumumba. Mmelogwa!

Tuwekeze link maana kila niki Google nakutana na vitu visivyojukana…!

kweli mkuu japo ni ngumu kumpangia mtu nini cha kufanya lakini kuja na ID zetu za jf itapendeza sana

Aiseeeee…

Tafuta Bongoforums.com Mkuu nilikosea nikasahau kuweka s kwenye forums.

Bongoforums.com inadaiwa hii iko majuu, lakini mwendo kwa tahadhari kwanza maana hawa wahuni na wauaji hawasiti kufanya lolote lile ili kutunyamazisha Watanzania.

Exactly

Mkuu

Comments zako zinafanana sana na avatar yako umeongea mambo ya “kifala fala” OVA

Sidhani kama kuna Transcend mwingine humu.

ACHANA NA BONGOFORUM INAWEZA KUWA IMEANZISHWA NA VIJANA WA JIWE KUTUNASA, ACHANA NAYO PLEASE

Hata mm kule nime kushtukia napita kama guest tuu.