••. TUHESHIMIANE ••

I like your avatar HOTEL TRANYLVANIA or PENSYLVANIA

Nasisitiza kuwa hilo JUNK halina spare part. Leta picha lake la hakika. Wacha wa Internet

[ATTACH=full]49103[/ATTACH]

sisi wakenya ni watu mtandao, halaa! ni siri la juu pahali limepakiwa (PARKING) mnaeza kuja kuiba

Naona kwa magazeti eti “come visit kenya and mount kilimanjaro”" hilo ndio mwadanganya tourist nao.
Kisha mwapiga picha la mlima kando na wamasaai. Wadau tunawaonea mbali

Ndugu yangu naona una tatizo fulani, wacha nikuelimishe kidoooogo tu
Tanzania is one of the world’s poorest economies in terms of per capita income, Tanzania is largely dependent on agriculture for employment, accounting for about half of the employed workforce.
GDP per capita: 694.77 USD (2013) World Bank
Gross domestic product: 33.23 billion USD (2013) World Bank
GNI per capita: 1,760 PPP dollars (2013)World Bank
Gross national income: 84.4 billion PP

Within the EAC, the Kenyan economy is the anchor. The overall performance of the region will to a great extent depend on what happens in Kenya. Kenya’s economy is the largest in the region and is much more dynamic than those of other member countries. The country’s economy is much better linked to the other economies in terms of investment flows and trade. Thanks to its more advanced human capital base, its more diversified economy, and its role as a leader in the information communication revolution in the region, Kenya’s economy is expected to remain strong, creating salutary benefits to the other member countries.

KENYA
GDP per capita: 1,245.51 USD (2013) World Bank
Gross domestic product: 55.24 billion USD (2013) World Bank
GNI per capita: 2,780 PPP dollars (2013) World Bank
Gross national income: 123.3 billion PPP dollars (2013)World Bank

HABARI NDIO HIO

I can bet the last picture is a view from Amboseli National park in Kenya

Sasa hapo shida iko wapi? Si pia mpige picha wamasaai wenu na mlima kutoka pande yenu?

makufuli again

Shida liko wakati sasa tuliwaacha wapate hela kutoka kwa tourist kwa urongo. Kisha sasa magazeti yote ya dunia kwa mfano herald yasema kuwa Kilimanjaro liko kenya. Sasa hapa Ndipo hatupatani

Moshi Rena

mji wa moshi kweli liko kenya???
Sawa tunajuwa kila kitu kiko kenya na hata mji wa moshi ni wenu.
Wewe na wenzako mfungue macho

Wikipedia si wa halali kwa kuweka gdp
Pia wewe waleta gdp wa 2013 na wakati huo magufuli hakuepo

Nyinyi endeleeni kubweka tu, Kilimanjaro tutazidi kuiweka kwenye tour guide ya Kenya. Pelekeni kesi I.C.C au mfunge border

na tukinyanganya hawa mafala hio kilimanjaro whats the worst they can do vile ni waoga ? kwanza tumeambia Egypt hii nile si ya mama yao na 2017 we are diverting the water waletee upus , israel iko nyuma yetu .

You are all arguing about territories drawn by the colonialists who fucked up Africa

Chida yako magufool is that you are so petty and schupit. Mambo yasiyotuhusu ndo watuletea kwa hiki kijiji. I told you to mind your own business. Yaani kila siku lazima tubishane sijui oh wakenya wanasema oh sjui rais wetu. Serre

Maji yame simama haimanishi mamba hayupo ndani. Tupa mkono ndani uone moto. Sisi watulivu haimanishi waoga

Gazeti lenu Leo latangaza huu mambo. Basi lakuhusu

Ndio nasititiza kwanza waingereza walichukua nchi letu na kukigawanyisha. Historia yasema kenya ilikuwa letu kabla ya uingereza kufanya demarcation

Ndio maana mwajiambia sisi waoga? Malizeni kesi zenu na Malawi na Rwanda, kisha muje tuzungumzie kinachowasumbua meno

Hatuna tatizo lolote bali msijidanganye ni wenu?? Sawa??