Tuliopitia chereko chereko tukumbushane ile siku.

nitajaribu kuamini hivyo

Nahitaji muda san

Hahaha unanikumbusha siku moja kabla ya kuoa,mimi na best man Wangu na baadhi ya washikaji kula sana tungi hadi majogoo

Hakuna kitu kama hicho ingekuwa wote wanafanana basi wanaume wote wasingeoa.

Wewe tafuta mtu unaeona mapungufu yake unaweza kuvumilia kwasababu hata wewe haujakamilika vinginevyo nawewe una shida.

Ina maana mkuu umewaonja wote?(kidding)

Hivi kwanini siku hiyo njaa huwa haiwaumagi?

huu uzi udumu nkiolewa ntakuja sema apa kitakachotokea

Mh!! Umri unaniandama hatare. Ngoja nipate kwanza mtoto.

Asilimia 90 ya wanawake hufikiria namna siku ya harusi yao itakavyokua, nguo atakayovaa, jinsi atakavyorembwa na kupambwa, ukumbi na wageni watavyo kaa na kisha kumbukumbu hiyo na ile ya kupewa nasaha na usia siku ya harusi hubaki akilini mwao kwa muda mrefu sana

Wanaume wao hufikiria mambo machache tu kama vile mahitaji muhimu kama chakula vinywaji na usafiri vitatimia halafu mawazo yao hua kwenye kula tunda la katikati kama hawajawahi kulana au kama walishaonjana basi hufikiria tendo la ndoa litakavyokua siku ya mwanzo ya ndoa na masiku ya fungate kama watakua nayo

Nakumbuka miaka ya nyuma huko kijijini mwanamke akiolewa asubuhi vinakuja vibibi vimbea nakumuuliza bi harusi jinsi mchakato ulivyokuwa tangia walipoingia ndani ya chumba.
Bi harusi ''Tulipoingia ndani tukazima taa na kupanda kidandani, tulilala usingizi kushutuka ni asubuhi. :p:p:p

zipo tamaduni ile siku ya kwanza unakula vitu pale pale ukweni, afu kunakuwa na watu wazima wanasikilizia show nyuma ya pazia…hawataki visingizio baadae, visingizie hasa vihusuvyo vitendea kazi