Tunaomba Jukwaa la Sheria!

Mnaweza kumuiba yeyote Kwani Uhuru,Mugabe walisha sema Wakenya wezi
hata Takwimu zaomyesha
walipo wakenya 10 jua 8 Wezi!!

Hahaha kumbe wajua Kibera ndio Kuzimu pekee East Africa
hahaha huwezi kuona sehemu mbaya yakuishi Mwanadamu kama kibera hahaha!!
Kuna kitu hukifahamu
Watanzania waliopo hapa niwachache kuliko Wakenya waliopo Jamiiforums
Ile nisehemu huru
forum inayo mpa uhuru mtu yeyote kujadili mada motomoto awe Mtanzania au Mkenya.
Kuna Wanyarwanda kibao kule,Waganda,Warundi,
Sababu kuu Watanzania hawana Ubaguzi na ukabila
inapelekea kila mtu kuchangia mijadala kwa uhuru.
Njoo humu
mmejaa Viburi,Ujuaji,Chuki,
kutwa mada za Kikabila

haya tupuuze, rudi kwenyu jamii. Nini unatafuta hapa ? Tushakueleza hatukuhitaji bado unajilazimisha kwetu :D:D Wabongo jinga kweli. Hatutaki wachawi kwa forum zetu

Hahaha huwa nafurahia mlivyo wepesi wa kutoa povu hahaha!!
Unihitaji mie Dadako!!
unawezaje kumhitaji usie mjua!!

Lakini nikuulize swali. Kuna article nimesoma leo imesema shida kubwa ya kuanzisha biashara bongo ni kuwa hakuna human resource. Zungumzia Hilo tafadhali kisha urudi jamii forums waeleze huku wakenya balaa hawataki maneno ya Wabongo. Muungano wa Africa Mashariki mmekataa kuingia kwa hofu wakenya tutawakalia na kuingia katika sehemu zote.

Duh. Kiswahili ni ngumu isay!

Wanaijeria hulaumu wakenya kwa madharau Misifa kuliko taifa lolote Africa,
Hampendi kupingwa Mnaona ninyi ndio kila kitu na chochote mfanyacho nisahihi!!
Mnachuki sana nyie watu,
inapelekea watu wanje ya kenya kushindwa kuendelea na Mijadala ktk forum zenu

Hatuna lolote!!
Mnawezaje kuibia Wasio na lolote Hadi Sukari ikiwa ninyi mnalolote!!
Mmeshindwa kujitosheleza kwa Chakula pekee mtaweza lipi!!
Wacheni dharau ninyi watu!!
Na si ajabu mtu kama wewe unaishi kwenye mabanda ya kibera
Kisha waropoka watanzania hawana lolote hahaha!!

hamna jina ya kiswahili ya forum???Ukikaa border ya kenya na Tz usijiite mtanzania tena.Ww ni mkenya

[ATTACH=full]101637[/ATTACH]

Du! hii kali

Inafaa tumuibe alafu tumpige branding ya bendera ya kenya na chuma moto. Tumalize hii maneno

1 Like

Nimehusiana na watu wa nchi nyingi Africa na naweza Sema wakenya hatuna dharau kama mtu ana heshima na hana ujeuri. Hao wanaija unazungumza kuhusu labda ni wale watu loud mouth wa kutoka igbo ambao ni wakora na wanapenda wanawake wakenya sana.

Wabongo shida bado hujaeleza ni ipi? Mbona kila kitu ni mashidano na wakenya? Huwezi kuwa na mjadala na mbongo bila yeye kujaribu kusema wakenya oo wakenya aa…Kiongozi wenu Magufuli kila uchao ni kujaribu kutuweka chini. Hata uchaguzi wetu anaingilia kati.

Hii forum ni ya wakenya. Na jamii forum ni ya kwenu.

Nyie niwatu wakupuuzwa tu
Mtakuja kugombana na vivuli vyenu
maana hamkosi Chokochoko na Tanzania!!Magu aingilie uchaguzi wa kenya kwa lipi haswa!!
Tatizo mmejawa na Husda sana !
Tunajua sana kama hii ni forum ya wakenya
ndio maana wageni inakuwa ngumu kuchangia Mijadala ya forums zenu,
Hamna jipya humu zaidi ya Ukabila
mara Jaluo,Mara Kikuyu!!
haha yaani mnalaana si bure

Kama tungetaka forum kama jamii tungekuja huko Jamii. But THIS IS KENYA. You don’t come here to tell us how to do what we do. The last person who did that alikua muingereza. Enda kamuulize kuliendaje. From the onset, you came here trying to prove venye mnaeza tufunza. Kwenu ni Tanzania Vs Kenya kila kuchao. We can be objective, or we can be non-objective. So kabla uje utueleze Kuhusu kibera hapa, we jua hamna lolote la kutuambia.