Tuwekeeni App

ohoo ajitahid me nmejiunga tu dk 2

Shunie anatumia opera mini nadhani ndo maana inakuwa slow

Jamaa kaandika kama vile ndo tumekimbia hadi nchi

Karibuu

Ticha hadi uku umekuwa mzoefu ghafla.

Asante sana

Wapi shunie

Naunga mkono hoja

Halafu kweli

hahahaha sichelewi

Niko hapa shikamoo mkuu

Nakazia jamani waweke app yaani

Marahabaa mtoto mzuriii…naona umerudisha kile kigauni:p:p:p:p:D:D

browser inachosha sana

Mm nahisi tutaonana wakiweka app jamani

Nimerudisha kile kigauni chako sijui nitaambiwa nikitoea yaan sijui

Hicho hicho ndio chenyewe…

Wooooooozeeeeeeerrrrrr

hahahaha hivi hakuna stor uliyoichia katikati kweli kule jf?

Dunia haina usawa ila nilimwachia Jackal aimalizie hata pa kumpata sijui